Happy birthday Cookie

Happy birthday mwanangu Cookie Moses Iyobo! Mungu akujalie afya njema, maisha mazuri yaliyojaa amani na furaha, na zaidi ya yote akujalie kumjua na kumtumikia yeye Mungu muumba wa Mbingu na Dunia. Happy birthday beautiful, much love from aunt Alpha.  @auntyezekiel naomba copy ya movie ya Cookie (Mama) nasi tutizame please

Leave a Reply