Happy birthday Francisca and Faith!

Screenshot_2016-08-30-13-28-14-1FB_IMG_1472436063790Nimependa huo ?ujumbe toka kwa Foster kwenda  kwa ndugu zake katika siku yao muhimu! Kilicho nivutia zaidi kwenye ujumbe huo ni namna ya uhusiano wao jinsi ulivyo kama ndugu!………. Unajua kuishi nje ya Tanzania kume minifumbua macho kwenye mambo mengi sana haswa katika maswala ya familia na undugu! Nyumbani Tanzania watu wengi wanaishi maisha ya “kinafiki” sana pale inapokuja swala la kuwa mkweli na hisia zako haswa kwa watu wako wakaribu! Yani kumwambia au kusema ukweli kwa watu wako mara nyingi inachukuliwa kuwa ni “chuki”!!  Wakati wenzetu wanaamini kuwa if you truly love and care for someone lazima utataka ajue ukweli!! And family is not family if one can not be honest to his / her feelings without the fear of rejection!!……… Nimependa alivyosema wamezinguana sana lakini usije jaribu kumchokoza mmoja wao ?? ………..Anyway, hakuna familia iliyo kamilika hapa dunia kila moja inamapungufu yake! Na kugombana kwa wanafamilia sio mwisho wa undugu au kuondokewa kwa upendo miongoni mwao!! Kumbuka damu ni nzito kuliko maji…………….!!Screenshot_2016-08-30-13-28-14-1-1 Happy birthday Francisca Wandiba na Faith Kalanje. Mungu awape uhai mrefu na afya njema!!

Leave a Reply