alphaigogo.com
Happy birthday Francisca and Faith! - alphaigogo.com
Nimependa huo ?ujumbe toka kwa Foster kwenda kwa ndugu zake katika siku yao muhimu! Kilicho nivutia zaidi kwenye ujumbe huo ni namna ya uhusiano wao jinsi ulivyo kama ndugu!.......... Unajua kuishi nje ya Tanzania kume minifumbua macho kwenye mambo mengi sana haswa katika maswala ya familia na undugu! Nyumbani Tanzania watu wengi wanaishi maisha ya
Alpha Igogo