alphaigogo.com
Happy birthday Mama Manongi! - alphaigogo.com
Happy belated birthday mama Manongi; Mungu akubariki sana akupe maisha marefu, yalio jaa upendo, amani, na afya njema. Jamani sijuwi nianzie wapi kumzungumzia huyu mama yangu jamani! Ooh Lord! Yani ni Mungu pekee ndiyo anejua jinsi ninavyo mpenda na kumthamini huyu mama! Ni mama mwenye upendo, yani akiongea na wewe sauti yake tuu nikielelezo tosha cha upendo wake! Ubarikiwe sana
Alpha Igogo