alphaigogo.com
Happy birthday Neema a.k.a Beyonce! - alphaigogo.com
Japo siku imepita lakini si mbaya kukutakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwako. Nakutakia maisha mema, yaliojaa upendo, furaha na amani tele! Kwa wale msiomjua Neema ni mdogo wake Foster Mbuna ambaye ni mmoja wa wadau wa hii blog! Neema akila dinner na familia yake....... family is everything men! Mama naye akipata kipande cha cake kama shukran kutoka kwa mwanaye.........Hongera sana mama
Alpha Igogo