alphaigogo.com
Happy birthday Thanisa - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wetu / dada yetu / aunt yetu / mama yetu kipenzi Thanisa! Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kukupa nafasi ya kuuona mwaka mpya. Tunakuombea uwendelee kuwa na afya njema, furaha, na amani ndani ya moyo wako. Pokea salamu hizi toka kwa dada yako kipenzi Mariam, na familia yetu yote. Tunakupenda, tunakushuru sana ndugu yetu.
Alpha Igogo