alphaigogo.com
Happy birthday Vincent - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa shemeji yangu Vincent. Nakutakia maisha mema, marefu, yalio jaa upendo, amani, furaha, na afya njema. Ukazidi kuwa na busara na hekima ya kuitunza familia yako na mkeo kipenzi. Zaidi ya yote ukapate kuwa karibu na Mungu wako zaidi ya jana. Bila Mungu vyote ni batili! Mweee! Eddah mtoto ya Gachuma Muke yake na Vincent, dada yangu
Alpha Igogo