alphaigogo.com
Happy birthday Mh. Ester Bulaya - alphaigogo.com
Happy birthday Mbunge wa jimbo la Bunda (Chadema) Ester Bulaya. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki, kukulinda, na kukupa afya njema kwa munufaa yako wewe mwenyewe, familia yako, na kwa manufaa ya wanainchi wa jimbo la Buda na Tanzania kwa ujumla. Natumaini ulikuwa na siku nzuri yenye upendo mwingi. Happy birthday to you. *jamani naomba mkumbuke kuwa nilishawahi sema huko nyuma kuwa mimi
Alpha Igogo