alphaigogo.com
Happy Father’s Day to the best father in the world! - alphaigogo.com
Najua ninaye Baba wa Mbinguni ambaye ananilinda, kunijali, na kunipenda sana. Lakini ni haki kusema kuwa kama asingenipa huyu mzee kuwa baba yangu hapa duniani, sijui leo hii mimi Alpha ningekuwa wapi! It's hard to have a child like me! Mimi ni mtu ambaye I can speak my mind, but not so good nikiwa nimekwazika ?? Despite of all, my
Alpha Igogo