alphaigogo.com
Happy Mother’s Day to all mothers around the world! - alphaigogo.com
Nawatakieni kheri ya siku ya wakina mama wa mama wote katika dunia hii! Mungu awabariki sana na azidi kutupa khekima ya kuwalea watoto wetu katika njia mpasayo! Wale ambao wanategemea kuwa mama, basi Mungu akawatangulie mjifungue salama. Nao wanao tamani kuitwa mama basi Mungu akawajaze mibaraka hiyo kulingana na mapenzi yake!...........Tunapokuwa tukifurahia Siku hii kuu duniani tusisahau kuwaombea wamama wote
Alpha Igogo