alphaigogo.com
Family time-the Igogos - alphaigogo.com
Ha ha ha! Leo nakupeleka kijijini kwetu Utegi, wilayani ya Rorya. Hapa kuna baba yangu mdogo, mama zangu, dada zangu, na bibi zangu. Yani wamenikumbusha kwetu! Kwenu ni kwenu hata kama nyumba za manyasi ati! Kheri ya mwaka mpya ndugu zangu, mbarikiwe sana
Alpha Igogo