alphaigogo.com
“hardcore truth”! - alphaigogo.com
Hardcore Truth! Huwezi kuoa au kutembea na warembo wote, wanawake wazuri siku zote wataendelea kuwepo, kila siku utakutana nao wapya. jifunze kuwa na adabu (self discpline) pamoja na kujidhibiti (self control). Chagua mmoja tu, mjenge awe wako, mfanye awe malikia wako! hii itakupunguzia gharama, itakutunzia muda wako, drama pamoja na magonjwa. Vile vile hakuna medali, tuzo au nishani ya juu ya ushindi
Alpha Igogo