alphaigogo.com
“Hata Kama Mambo Yanakwenda Vibaya, Fanya Hivi” - alphaigogo.com
Hata Kama Mambo Yanakwenda Vibaya, Fanya Hivi Ni rahisi sana kuwa na hasira, kukatishwa tamaa na hata msongo wa mawazo. Hiki ni kiu ambacho kila mtu anaweza akawa nacho kwenye maisha yake. Nikiwa na maana kila mtu akikasirishwa, anaweza akakasirika sana au mtu akikatishwa tamaa anaweza akakata tamaa pia sana. Lakini yote hiyo haiwezi kusaidia kitu. Busara na ukomavu wako wa kimaisha unakuja
Alpha Igogo