alphaigogo.com
Haya wale wadada wa “fursa” kamateni fursa hiyo …..! - alphaigogo.com
Pale mzee wa kuonyesha fursa anapogeuka kuwa fursa ??? Haya wadada wa mujini waini fursa hiyo msitoane roho tu, he is officially Back in the Market and Ready to Mingle ??............. Ruge! Ruge! Ruge! What are we gonna do with you? Hivi unajua mwanamke alipewa uwezo na Mungu ambao anaweza akamfanya mwanaume aonekane kuwa shujaa (hero) katika macho ya jamii
Alpha Igogo