alphaigogo.com
Hello there! - alphaigogo.com
Happy New Year wapendwa wasomaji wangu! Naomba mnisamehe sana leo nimeshindwa kuleta picha za familia kama ilivyo kawaida yetu. Lakini Nahaidi nitazileta kesho, kwa sasa nimebanwa kidogo. Natumaini mmeanza mwaka vyema. Asanteni sana. #TBS#Home,02/2010 Nilikuwa likizo Bongoland na hapo nilikuwa nakwenda kula
Alpha Igogo