alphaigogo.com
Heshima yangu kwa walimu wote duniani! - alphaigogo.com
Leo ilikuwa ni siku ya walimu duniani. Nawashukuru na kuwapongeza walimu wote katika dunia hii! Nilishawahi kusema kuwa uwalimu ni wito na karama ya pekee sana ni wachache walio jaliwa nayo. Mimi sikujaliwa ma karama hiyo?? hivyo I salute all great teachers around the globe including my uncle / baba yangu mkubwa kwenye picha hapo juu ? Mzee Joseph Musira
Alpha Igogo