alphaigogo.com
Hii ni miguu ya yule mama ambaye amekuzaa! - alphaigogo.com
Hii ni miguu ya yule mama ambaye amekuzaa na kukulea handsome wewe unayeng'aa na kuzungusha round ya laki na ishirini huku mkononi unazungusha kiufunguo chako cha alteza uliyokopa baada ya kumaliza miezi sita ya probation hapo ofisini kwako!! Miguu ambayo ilihangaika kwa kuuza pombe, maandazi, na kutembea kilometer 20 kwenda shamba alime ili wewe upate ada iliyokusaidia primary, ukafanikiwa kuingia sekondary
Alpha Igogo