alphaigogo.com
“Hii ni sababu mojawapo kwa nini ni lazima kuachia ya nyuma yapite”- Pastor Caleb Migombo - alphaigogo.com
Umeshagundua kuwa ukiendelea kumchukia mtu, chochote kile walichokutendea kitaendelea kukuumiza maisha yako yote? Hasira zetu na chuki huzidi kutonesha vidonda vya majeraha ya huko nyuma (zamani). Hii ni sababu mojawapo kwa nini ni lazima kuachia ya nyuma yapite na – kwa msaada wa Mungu – kufungulia hasira na chuki vitoke kabisa katika maishani mwetu, na badala yake turuhusu Upendo wa Mungu kukaa
Alpha Igogo