alphaigogo.com
“HILI ALILOSEMA MBOWE BUNGENI JUU YA UTAWALA NA WABUNGE WA CCM LINAHITAJI KUTHIBITISHWA UKWELI WAKE.”-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Katika kipindi cha maswali na majibu ya hapo kwa hapo kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Chini ya mwamvuli wa UKAWA Mh. Freeman Mbowe alitaka kujua ukweli wa taarifa ya kufanyika kwa kikao cha wabunge wa CCM chini ya mwenyekiti wao Mh. Kassim Majaliwa Ambaye pia ni Waziri Mkuu. Katika kikao hicho kulikuwa na ajenda
Alpha Igogo