alphaigogo.com
Hili limenikosha moyo! - alphaigogo.com
Nilikwenda kuchungulia kwa mwanamuziki maharufu kutoka Kenya aitwaye Akothee Akothee! Nikakutana na hizi picha za yeye na babu yake akimpa babu good time! Zimenigusa mnooooo, zikanikumbusha bibi zangu na babu natamani wangekuwa bado wako hai. Nilikuwa nawapenda sanaaaaaa my grandparents! Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuwaona, kufurahi nao, na kuhakikisha wanajua kuwa nawapenda kabla mauti haijawapata. Hivyo hata kama
Alpha Igogo