alphaigogo.com
Nini faida za hirizi wanazo fungwa watoto? - alphaigogo.com
Jamani kama kuna mtu anajua naomba kuelimishwa kuhusu hizi hirizi ambazo wanafungiwa watoto. Nimesha ona wengine wanafungiwa shingoni kama cheni na kunawanao valishwa mkononi kama Princess Lattifa (mtoto wa Diamond na Zari). Naamini hizi huwa zinatoka kwa waganga wa kienyeji wale wanao roga watu (siyo wanao uza madawa ya kienyeji). Kama nitakuwa nimekosea basi nielimishe tafadhari. Sasa naomba kuliaza inamaana
Alpha Igogo