alphaigogo.com
Historia imeandikwa: Kupatwa kwa jua, Rujewa, Mbeya, Tanzania - alphaigogo.com
Siku ya leo (masaa ya Africa Mashariki) tarehe Mosi September, 2016 historia imeandikwa ndani ya Rujewa, Mbeya, Tanzania ambapo tukio kubwa duniani la kupatwa kwa jua (Sun/Solar eclipse) limetokea. Soma ? KupatwaKwaJua2016 ili ujifunze zaidi! Watu wengi sana walijitokeza kushuhudia. Nitukio la kisayansi lenye faida nyingi kwa nchi yetu kihistoria, kiuchumi, na kiutalii! Tuna kila sababu ya kujivunia! ?? Picha shukrani kwa
Alpha Igogo