alphaigogo.com
Hongera Dr. Nai Kisyombe Kipuyo - alphaigogo.com
Naomba tumpongeze msomi wetu aliye hitimu mafunzo yake na kuvikwa taji la MBBS (2015) siku ya Ijumaa kutoka International Medical, and Technological University. Jamani nimeshindwa kuitafsiri hiyo degree yote ila najua ni Masters degree katika medical ? hongera sana Dr. Nai Kisyombe Kipuyo, beauty and brain must go together! Yani inapendeza zaidi! Nimeona niweke evidence kabisa ☝? maana sikuhizi hata
Alpha Igogo