alphaigogo.com
Hongera Dr. Tulia Ackson (Naibu Spika) - alphaigogo.com
Hongera sana Dr. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge 11 la serikali ya 5 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwakweli binafsi nilitamani sana wewe ndiwe uwe Spika wa Bunge hili, lakini naona uzowefu umewekwa mbele bila kujali uwadilifu! Serikali ya Tanzania inakataza watu wasijichukulie sheria mkononi lakini serikali hiyo hiyo kupitia watu hao hao wanatunga sheria
Alpha Igogo