alphaigogo.com
Hongera kwa baba yangu! - alphaigogo.com
Hakuna hatua ambayo unaweza kupiga halafu ukasema hiyo hatua ni ndogo hivyo haistahili kujipongeza au kupongezwa, kwani hakuna mtu alianza kusimama na kutembea bila kutambaa angalau kwa siku kadhaa! Japo najua baba yangu kuna mambo mengi na makubwa amefanya na amepongezwa sana si tu ndani ya Tanzania bali hata inchi za ugenini, lakini kama nilivyo wahi kusema huko nyuma moja
Alpha Igogo