alphaigogo.com
Hongera Miss Tanzania 2016, Diana E. Lukumai - alphaigogo.com
Hongera sana Miss Tanzania 2016, Diana E. Lukumai.......uwende ukatuwakilishe vyema huko! Hongera pia kwa washiriki wote! Jokate a.k.a Kidoti katika ubora wake! Kapendeza sana ?? Former Miss Tanzania, Hoyce Temu and the newly Miss Tanzania 2016....... Looking great!
Alpha Igogo