alphaigogo.com
Hongera Mr and Mrs Bilton Otto - alphaigogo.com
Hongera sana Mr Bilton kwa kuamua kufanya 'maamuzi magumu' ya kuachana na maisha ya u-single na kufunga ndoa, kuanza maisha mapya ya familia. Hongera sana! Harusi yao ilifungwa katika kanisa Katoliki la Mtakatifu Maurios, Kurasini na kufanyika Marantha Hall, Msimbazi CenterMrs Lulu Otto, amependeza sana. Hakuna ajuae kuumba kama Mungu! wifi yangu kaumbwa na akaumbika kweli kweli ? Mungu awabariki sana upendo
Alpha Igogo