alphaigogo.com
HONGERA SANA ANTON H. NGOLI - alphaigogo.com
Hongera nyingi zikufikie mdogo wangu na Kiongozi mwenzangu wa Jukwaa La Watu Wenye Ulemavu Tanzania kwa kuhitimu masomo yako yaliyochukua miaka mitatu ukiwa chuo cha ununuzi na ugavi IPS. Najivunia sana kwa wewe kuwa mmoja kati ya vijana wengi nilikuwa nashauriana nao kipindi nipo IPS. Juhudi zako na uvumilivu wako katika kufuata ndoto yako ndio imekufikisha hapo ulipo. Kila safari
Alpha Igogo