alphaigogo.com
Hongera sana Balozi Tuvako! - alphaigogo.com
Wiki hii muheshimiwa Rais Jakaya Kikwete alitunikia watu mbali mbali tuzo za utumishi kwa daraja tofauti na mmoja wa alikuwa Balozi Tuvako Manongi. Yeye alitunukiwa tuzo ya Utumishi Uliotukuka daraja la kwanza. Hongera sana!................pichani ni Balozi Tuvako na dada yake mpendwa Peninah Tenga. Ulipendeza sana my sister, hongereni sana.
Alpha Igogo