alphaigogo.com
Hongera sana Flaviana Matata Foundation - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, naomba wote mlioko Bongo kama una mtoto na anakwenda shule. Basi ukitaka kununuliwa vifaa vya shule na pamoja na madaftari na school bags, tafadhali tafuta ambavyo vinywa na Flaviana Matata. Vile vyenye logo ya Flaviana kwani kwa kufanya hivyo tunasaidia kutunisha mfuko wa Flaviana Matata ambao inasaidia ndugu zetu walioko kwenye mazingira magumu. Hongera sana Flaviana Matata
Alpha Igogo