alphaigogo.com
Hongera sana Frank! - alphaigogo.com
Naomba nichukue nafasi hii kumpa pongezi my cousin-brother Frank Laurent Sarungi wa Mbagala, Dar es salaam kwa kufunga pingu za maisha.Nawaombea kheri, ndoa yenu idumu katika Bwana siku zote! Upendo, amani, vitawale daima ndani ya nyumba yenu. Kwa faida ya wale msiomjua Frank: Ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa. Yeye alizaliwa na ulemavu wa kuto sikia (kiziwi) na
Alpha Igogo