alphaigogo.com
Hongera sana Jambo African cuisine - alphaigogo.com
Hongera Jambo African Cuisine kwa kushinda tuzo ya Best Of SouthWest Michigan. Mungu akubariki sana ushinde nyingine kubwa zaidi ya hiyo............Pichani ni Frida Boyd mmiliki wa Jambo African Cuisine iliyopo Kalamazoo, Michigan. Yeye ni mwanadiaspora toka Tanzania. Ukifika Kalamazoo usiache kufika Jambo African Cuisine wana vyakula vitamu sana na huduma zao ni nzuri mno! Hongera sana Frida, very proud of
Alpha Igogo