alphaigogo.com
Hongera sana Jokate!……#MsusiWao - alphaigogo.com
Ndoto yetu ni kuona wasusi Tanzania wanakuwa na umoja wao wakifanya vitu vikubwa zaidi. Wawe na kiwanda chao, tovuti yao, wapendane, wasusi wasiokuwa na maeneo rasmi wadau mbalimbali tuwasaidie wawe na eneo la kutumia ujuzi wao kupata utajiri wa maisha. Msusi wao ni jukwaa la kuwaunganisha na kuwakumbusha kuwa wana thamani na lazima wajithamini, wasijichukulie poa. Twende sasa ?? #MsusiWao
Alpha Igogo