alphaigogo.com
Hongera sana Mariam Kimesera - alphaigogo.com
Hongera sanaaaaaa Mariam Kimesera kwa nafasi uliyopata toka Georgia Music Awards. Mungu akubariki na huu uwe mwanzo tuu wa mambo mengi mazuri na makubwa zaidi ya hapa. Mariam alichagulia kuwa mmoja ya watu waliokuwa waki-present zawadi za washindi katika sherehe au tukio la GA Music Awards iliyofanyika tarehe 21 / 08 / 2015 katika jiji la Atlanta, Georgia, USA. Mariam alipata
Alpha Igogo