alphaigogo.com
Hongera sana Mh. Nicholaus B.William! - alphaigogo.com
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza sana Mh. Nicholaus B. William kwa kuteuliwa kwake kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, na Michezo. Sijawahi kukutana nawe lakini sifa zako nyingi nilizipata kutoka kwa mdogo wangu Advocate Janeth O.O Igogo jinsi ulivyo mnyenyekevu, usiye jikwenza, mchapa kazi, na muungwana. Tabia yako ya kujiona wewe ni sawa na wengine inawavutia na kuwaacha
Alpha Igogo