alphaigogo.com
Hongera sana mjomba wangu Atanas Ageng’a - alphaigogo.com
Nimefurahi sana tena sana kuona mjomba wangu akipatiwa zawadi ya Bhajaji na Utegi Technical Enterprises (T) Ltd, hongera sana uncle Ageng'a! Ageng'a alipatiwa Bhajaji hiyo jana mjini Dar es salaam, Tanzania. Huyu mjomba wangu alishawahi kushiriki mbio za baiskeli za walemavu huko siku za nyuma naalibahatika kuutwaa ushindi kwa mara tatu kama kumbu kumbu zangu zipo sawa. Walio kuwepo hapo wakati
Alpha Igogo