alphaigogo.com
Hongera sana Ravvyn! You have done us proud!! - alphaigogo.com
Tanzania oye eeeeeee! Finally RayVnny ametutoa kimaso maso kwenye dunia ya #wazungu! Nasisi kwa mara ya kwanza, tumetambulika rasmi na kuwekwa kwenye Entertainment industry ya Wamarekani! #BETAwards...... Asante sana kijana wetu, asante sana Watanzania kwa ushirikiano wetu tulio uonyesha na kuleta ushindi huu nyumbani! Viva Tanzania! Viva WCB! https://youtu.be/C_cp5lJ6VY4 RayVnny, I'm so impressed kuona RayVnny anaongea good English! Safi sana! Yani mimi
Alpha Igogo