alphaigogo.com
Hongera sana Rose M. Awiti na mumeo! - alphaigogo.com
Hongera sana binamu yangu Rose M. Awiti kwa kufunga ndoa takatifu. Mwenyezi Mungu akujalie furaha, amani, afya njema, na akawe kiongozi wenu siku zote ili ndoa yenu idumu milele. Hongera sana. Kwafaida ya wasomaji wangu, Rose ni mtoto wa mjomba wangu. Baba yake ni mdogo wake mama yangu mzazi ambaye anamfuata mara ya 5 kuzaliwa. Wiki iliyopita siku ya Ijumaa alifunga
Alpha Igogo