alphaigogo.com
Hongera sana Wema, nakutakia mafanikio zaidi ya haya! - alphaigogo.com
Regrann from @wemasepetu - Napenda kuchukua nafasi hii Kumshukuru kwanza Allah Sub’hannah wata’Allah kwa kunifkisha hapa nilipo sasa... Najua ni mambo mengi sana yanafanyika kwa ubaya juu yangu ila yeye ndo amekuwa Tumaini langu kubwa... Nimshukuru Mama angu mzazi pamoja na familia yangu yote kwa ujumla kwa kusimama na mimi bega kwa bega katika kila kitu... . Nitoe n shukran zangu
Alpha Igogo