alphaigogo.com
Hot pic of the day - alphaigogo.com
Linda Bezuidenhount akiwa huko NY katika business trip napia kum-support rafiki yake (KK) ambaye pia ni partner wake kwenye new clothing line ijulikanayo kama ID´EAL wakati alipokuwa anafanya surgical procedure kwa mwili wake! .......amependeza sana. Kutoka na maneno yake yeye mwenyewe amesema amekata na kushona hii jumpsuit ndani ya masaa mawili ??
Alpha Igogo