alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Wow! Black Beauty! Huyu anaitwa Aisha toka Bongoland. Nimependa sana hii picha, haswa ngozi yake. Ngozi nyeusi laini na nzuri kabisa. I mean her skin texture is to die for! Mimi binafsi napenda sana weusi wangu tatizo nililonalo; ngozi yangu ya uso inamafuta sana hivyo huwa napata chunusi usoni. Na dawa nyingi za kuondoa chunusi zina bleach basi napataje shida?!
Alpha Igogo