alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Linda Bezuidenhout, mama wa LB, Kichuna cha Kizaramo, muke ya Mali Kimesera. Kama kawaida yake, kupendeza ni jadi yake! Hata kama hataki lakini wapi nguo zenyewe zinajipanga kwenye mwili wake kwani si utani kajaliwa mwili ambao unakubali kila vazi! ?ni juzi kati alipokwenda kusalimia family friend wao huko Atl.....Too cute! Hii Ramadhan isiishe jamani, ma celebrities wetu wanapendezaje sasa ????
Alpha Igogo