alphaigogo.com
Watoto wengine ni majanga! - alphaigogo.com
Jamani, hivi vitu huwa vinatokea kweli japo vina chekesha. Kuna watu kadhaa ambao nawafahamu walikuwa na majina makubwa mjini, pesa za kumwaga (mafisadi wa Serikalini), watu wana wanyenyekea kama Mungu vile lakini kwao wazazi wanaishi kwenye nyumba ya udongo ?? Siku moja akafiwa na baba yake mzazi mmh! Kaenda kwenye msiba aibu tupu, yani hata yeye mwenyewe pakulala alikuwa hana
Alpha Igogo