alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Shamimu Mwasha looking hot! Mama wa 8020 fashion blog! Nimependa rangi na nguo yenyewe, ngozi safi nzuri mno, make-up imetulia kabisa! Mimi si mpenzi wa kuvaa vilemba lakini huwa napenda nikiona mtu kavaa halafu likamkaa vizuri kama yeye. Yani mimi kama ningekuwa na uwezo wa kuvaa T-shirt na skinny jeans au tighty kila siku ya Mungu basi ningevaa hivyo kila siku ??? sipendi
Alpha Igogo