alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Mrembo na mama aliyeumbwa akaumbika Mrs Lyimo. Kapendeza sana! Kitu kutoka Kanda ya Ziwa maeneo ya Musoma line hiyo ?Mwanamke mguu ati haswa siye wa kanda ya ziwa yani woman's leg is part- compulsory of your beauty..............watu wa kanda ya ziwa wanaangalia miguu ya mwanamke sanaaaaaa! Wanaamini wanawake wenye miguu membamba (wanaita mironjo) wengi ni chakaramu (yani wanaongea kupitia kiasi)
Alpha Igogo