alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Beuty runs in our family blood ?? Nimependa hii picha ya my cousin-sister May C. Igogo. Huyu ni binti wa baba yangu mkubwa. Baba yake na baba yangu ni brothers wa baba mmoja mama tofauti. Bibi yake May alikuwa ndo alikuwa mke mkubwa wa babu. Bibi yangu mimi alikuwa mke wa tatu kati ya watano ???
Alpha Igogo