alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Mh. ShyRose Bhanji alipotembele wagonjwa wilayani Rorya. Amesema ni hospital ya Mission, ambayo wengi tunaijua kama Kowak Mission hospital! Nimefurahi sana, kwani marehemu babu yangu mzaa mama alifanya kazi hapa miaka hiyo ya 40s Enzi za wa-missionaries! Pia mie nimetibiwa sana hapa kwasababu nilikuwa nasoma Kowak Girls Secondary school ambayo nishule inayo milikiwa na missionary ya Roman Catholic na hospital
Alpha Igogo