alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Gorgeous picture of former Miss Tanzania-UK Hawa Gwao! Inahitaji utaalam wa hali ya juu kuchana nywele namna hiyo. Hivi karibu naye atafungua blog yake ambayo itaongelea maswala mbali mbali hususani urembo wa mwili, ngozi, na nywele! Nitawajulisha akiwa tayari..............So beautiful! Ubarikiwe sana.
Alpha Igogo