alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Niliziona hizi picha jana, nikajikuta nasema Wow! Bila kuongeza neno! Huyu ni dada yetu kipenzi ShyRose Bhanji hapo juzi kati alikuwa akifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya netball ya wabunge la bunge la Africa Mashariki. Yani mimi kanitia hasira aaaa! Hata sikubali lazima nita revenge tuu!! Yani at her age still she can bend like a teenager?! I mean simaanishi kuwa ni
Alpha Igogo