alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Awii! Black Beauty! Mzurijee sasa! Missy Kimati toka Bongoland, huyu ni mdogo wake na Mrs Nyongo (unaweza soma hapa kujua Mrs Nyongo ni nani) Pendeza sana na ngozi yako nyororo yenye rangi adimu. Ubarikiwe sanaaaaaa mpendwa.
Alpha Igogo